White ambayo ilihesabiwa kuwa kazi yao kutunza na kueneza matumizi ya mashauri ya Roho ya Unabii.
Mwenye shauku haoni mashindano ya hawa watenda kazi walio kimya lakini jicho lake Yeye ambaye huona siri za moyoni, huona na kukubali kila jitihada itolewayo kwa unyenyekevu na upole.
Beispiele für Inhalt, Form und Aufbau.
Jeraha hili la usoni lilikuwa karibu kumwua.
Ndipo kazi yao itajaribiwa na kuonekana ni ya aina gani; na kama ni dhahabu, fedha, na vito vya thamani, watasitiriwa mahali pa siri pa hema ya Bwana, Lakini kama kazi yao ni mti, majani makavu, na mabua, hakuna cho chote kiwezacho kuwakinga wasipatwe na ukali wa ghadhabu ya Yehova.
Nikaangalia na tazama, hapakuwa na mtu hata mmoja, na ndege wote wa angani wamekwenda zao.